jaridahuru

Mitandao

KIMATAIFA: JAMHURI YA AFRICA YA KATI YAPIGA MARUFUKU 'SMS', HAIRUHUSIWI KUTUMA AU KUPOKEA UJUMBE WA SMS

 
Wakati Tanzania kukiwa na kampeni ya kukomesha tabia za kusambaza ujumbe mbaya kwa simu ya mkononi au mtandaoni tuliyoipa jina la ‘Delete Futa Kabisa’, serikali ya Jamhuri ya Afrika Magharibi imeamua kupiga marufuku kabisa kutumiana ujumbe wowote.
 
Uamuzi huo umekuja kutokana na sababu zilizotajwa kama ni kuhakikisha ulinzi na usalama baada ya kupitia katika kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja wakiwa katika vita ya kidini.
 
Serikali ya nchi hiyo imetoa tamko rasmi baada ya waandamanaji kufurika katika mitaa ya mji mkuu, Bangui huku wakihamasishana kupitia jumbe za simu za mkononi kufanya maandamano  makubwa zaidi.
 
Waandamanaji hao wanataka serikali ya mpito ya nchi hiyo iliyoingia madarakani January mwaka huu kujihuzuru.
 
Vita ya kidini nchini humo ilianza mwaka jana baadaya Michel Djotodia aliyekuwa  raisi wanchi hiyo ambaye ni muumini wa dini ya kiislamu kujihuzuru na kukabidhi madaraka kwa watu wengi nchini humo ambao ni waumini wa imani ya kikristo.

Related

CPJ MEDIA EXPERTS ARREST IN TANZANIA: VIOLATION OF THE TZ IMMIGRATION LAW

Mumo left and Maria: it was not clear what secret mission they had by concealing their actual purpose of visiting the EAC country, Tanzania. The Tanzanian Immigration and Media Authorities have...

KIMATAIFA: OBAMA ALIKOROGA TENA LA WAKRISTO & WAISLAMU, ATOA KAULI TATA YAZUA KIZAAZAA

Kauli ya Rais Barack Obama ya kuwataka Wakristo kujua kuwa Uislamu si dini pekee inayohusishwa na vurugu na mauaji, imezua kizaazaa duniani na baadhi wameanza kuhoji kama kiongozi huyo wa kwanza m...

KIMATAIFA: NDEGE NYINGINE TENA YAANGUKA HUKO TAIPEI TAIWAN NA KUUA WATU 12

Waokoaji wakinasua watu waliokuwa ndani ya ndege hiyo. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. Ndege inayoimilikiwa na Shirika la Ndege la Taiwan, la TransAsia imepata ajali na kuangukia kwenye mto kati...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item