BURUDANI: AMBASIA MALIY ATWAA TAJI LA REDD'S MISS TABATA 2014 NA KUMRITHI DORIS MOLEL WA 2013

mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha
Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata
jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni
Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi
wa Tatu, Ramta Mkadara .