ELIMU: BODI YA MIKOPO YAZINDUA TAWI JIPYA KATIKA MKOA WA MWANZA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/elimu-bodi-ya-mikopo-yazindua-tawi.html
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh.
Baraka Konisaga akitoa cheti kwa mmoja wa wanufaika wa mikopo
aliyemaliza kurejesha mkopo wake mara baada ya uzinduzi wa ofisi ya
HELSB Kanda ya Ziwa katika hafla ya iliyofanyika jijini Mwanza katika
jengo la PPF Tower ghorofa ya pili wiki iliyopita.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Baraka Konisaga akihutubia wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa ofisi ya Kanda ya HESLB
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh. Baraka Konisaga akitia saiani kitabu cha
wageni mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ufunguzi wa ofisi ya Kanda ya
HESLB
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Nd. Asangye Bangu akisoma
salaam za makaribisho kwa mgeni rasmi Mh. Baraka Konisaga – Kaimu Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza