jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU, SASA RAY C AIBUKIA KWENYE TAARABU, AMUWASHIA KHADIJA KOPA MATAA

 Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku akimtaka Khadija Kopa ajiandae.
Akizungumza na Sporah Show hivi karibuni, Ray C amesema kwenye albam yake ambayo inakuja hivi karibuni kunamchanyiko wa nyimbo mbalimbali zikiwemo taarab na zakihindi.
“Nimefanya taarab kama mbili na zook, yani nimebadilishika kabisa, kuna kwaito , kuna bongoflave ,uwindi hindi kidogo, taarab nimeimba pia ,kwaiyo Khadija Kopa ajiandae”Alisema Ray C.

Pia Ray amedai kuwa aina ya muziki anaokujanao kwa sasa hivi ni ule wa kuonyesha kipaji chake zaidi cha kuimba na siyo kucheza.

Related

Habari Mpya 3715891944139436663

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item