jaridahuru

Mitandao

BUNGENI: KANGI LUGOLA ATIMBA BUNGENI NA BANGO LA KAMPENI, SPIKA AMCHIMBA MKWARA

PG4A2298Mbunge wa Mwibara Kange Lugola  akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A2314Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwaameva    wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya  Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A2347Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjijini ,Ezekiel Wenje , bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Related

Bungeni 7906215123015123384

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item