jaridahuru

Mitandao

UKAWA:"HATUWEZI KUKUBALIANA NA WANAOTAKA KUBADILISHA KATIBA YENYE MAONI YA WANANCHI" Lipumba


Umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) umeendeleza ziara zake nchini leo ikiwa ni zamu ya iringa. Lipumba amesema umoja huo ni wa kudumu na hauko tayari kukubaliana na maoni ya watu wanaotaka serikali mbili akidai hayo sio maoni ya wanachi.

Prof. Lipumba akihutubia

Katika hutoba yake alisema hawako tayari, na hawawezi kukubali kamwe. Aliendelea kwa kusema kuwa kumekuwa na uzushi kuhu umoja huo kutoka kwa watu wasio itakia mema nchi ya Tanzania.

Peter Msigwa akiongea na ananchi

Related

Kitaifa 2876716810764239779

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item