jaridahuru

Mitandao

JAMII: MWANAMKE ACHOMWA MOTO NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI


Mauti umemkuta mwanamke mmoja huko Nchini Nigeria baada ya kupigwa kisha kuchomwa moto kwa tuhuma ya kuwa anajihusisha na biashara ya kuwauza wasichana kusiko julikana.

Mwanamke huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa muda huo, alianza kupigwa na baadaye wananchi hao wakamuua kwa kumchoma moto. 

Inadaiwa kuwa mwanamke huyu alikutwa na watoto wawili wa kike ambao ni wanafunzi, akiongozana nao na ndipo wananchi walipompiga  na hatimaye kumchoma moto.

Hii imefuatia tukio la kigaidi kilichofanywa na kundi la Boko Haram ambalo limewateka wasichana zaidi ya 200 huko Nigeria.

Related

Jamii 2063540033667743987

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item