jaridahuru

Mitandao

SIASA: Alliance for Change and Transparency (ACT) yapata usajili wa Kudumu



Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT) kimepata usajili wa kudumu baada ya kukamilisha zoezi la uhakiki lililofanyika katika mikoa kumi teule.
Katika maneno ya baadhi ya wanachama wa chama hicho, wengi walidai kuwa zoezi hilo la uhakiki lilikuwa gumu kwani watu waliodaiwa kuwa mamluki walikataa kujitokeza katika siku ya zoezi hilo.

Hata hivyo chama hicho sasa kimekuwa chama rasmi cha kisiasa baada ya kuvunja rekodi ya kuwa chama kilichopata usajili kwa muda mfupi zaidi.

Mwenyekiti wa chama hicho Kadawi Lucas Limbu ambaye pia aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) alikabidhiwa cheti cha usajili na Msajili mkuu wa vyama vya siasa nchini Bw Fransis Mutungi.

Related

SIASA: "UKAWA NI KAMA BOKO HARAM" Nape Nnauye

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amesema kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni kundi  hatari linaloeneza chuki na kusambaza uongo...

SIASA: VIONGOZI WANAO WABEZA WABUNGE KUTAJWA BUNGENI

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amemtaka Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kusini Deosderius Mipata (CCM) kuwataja viongozi wa Serikali wanaobeza wabunge katika suala zima la utekelezaji wa maendeleo katika maene...

SIASA: MADIWANI WAIGEUKA CCM, WADAI WAMECHOKA KUTUMIWA

WAJUMBE wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (Alat), ambao wengi ni madiwani wamepinga utaratibu wa Uchaguzi Mkuu, kutumiwa na wananchi kuchagua rais, wabunge na madiwani. Kutokana na hatua hiyo, wajumbe...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item