JKT: UTARATIBU WA KUJIUNGA KWA MUJIBU WA SHERIA KWA WALIOMALIZA MEI 2014

kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni
2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Orodha yao itaanza kuonekana
kwenye website ya JKT tarehe 11 Mei 2014 kuanzia saa nne (4)
asubuhi.
kuanzia tarehe 11 Septemba 2014 na kuanza rasmi mafunzo tarehe 18
Septemba 2014 na kumaliza tarehe 17 Desemba 2014. Orodha yao itaanza
kuonekana kwenye website ya JKT tarehe 15 Mei 2014 kuanzia saa kumi (10)
jioni.
- Kijana yeyote mwenye ulemavu unaoonekana aripoiti katika kambi ya mafunzo ya Ruvu JKT (832 Kikosi cha Jeshi).
- Vijana wote wanatakiwa kuwa na vyeti vya kumaliza Kidato cha Sita (Leaving Certificate).
- Inasisitizwa vijana waripoti kwenye makambi waliyopangiwa na siyo kuja Makao Makuu ya JKT.
- BULOMBORA - KIGOMA
- RWAMKOMA - MUSOMA
- MSANGE - TABORA
- KANEMBWA - KIGOMA
- RUVU - PWANI
- OLIJORO - ARUSHA
- MGAMBO KABUKU - TANGA
- MARAMBA - TANGA
- MAFINGA - IRINGA
- MLALE - SONGEA
- MTABILA - KIGOMA
- MAKUTOPORA - DODOMA