jaridahuru

Mitandao

HOWARD: P DIDY ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA NA CHUO KIKUU CHA HOWARD


Sean Combs, alimaarufu kama P.Diddy au Puff Daddy, amepokea shahada ya heshima katika kitivo cha Ubinadamu yani 'humanities'kutoka katika chuo kikuu cha Howard.

Billboard imeripoti kuwa alipopokea shahada hiyo, rapa huyo pia alitoa hotuba ya ufunguzi katika mahafali hiyo.

Rais wa mpito Wayne A.I. Frederick alimtambulisha rapa huyo maarufu akisema kuwa kama mwanafunzi wa zamani wa chuo hicho anastahili heshima hiyo.

 "Alikaa katika madarasa wanapokaa wanafunzi wetu, alitembea katika viwanja wanavyotembea wanafunzi wetu. Ujuzi wake wa kijasiriamali unadhihirisha kuwa ni kuongozi bora mwenye mfano wa kuigwa," Alisema Frederick.

“Siwezi kuelezea ni kwa jinsi gani kurejea nyumbani Howard kunanipa faraja " alisema P Diddy alianza kusema msanii huyo amabe hutoba yake hiyo ilirushwa moja kwa moja na mitandao ya chuo hicho.

Diddy alikuwa miongoni mwa watu watano ambao walipokea shahada hiyo ya heshima. Wengine ni Mtangazaji wa CNN Wolf Blitzer, mpasuaji wa kupandikiza Clive Callender, msanii wa muziki wa dansi legend Benny Golson na Mtendaji mkuu wa PepsiCo.

Related

VYUONI: MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA APIGWA NA WENZAKE HADI KIFO KWA KUHISIWA KUWA MWIZI

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) cha jijini hapa, Helma Michael (22)  ameuawa kwa kupigwa mawe na wanafunzi wenzake, wakimhisi kuwa ni mwizi wa kompyuta ndogo za mkononi...

JKT: UTARATIBU WA KUJIUNGA KWA MUJIBU WA SHERIA KWA WALIOMALIZA MEI 2014

AWAMU YA KWANZA; Vijana 20,000 wataripoti kwenye makambi ya mafunzo ya JKT kuanzia tarehe 01 Juni 2014 na kuanza rasmi mafunzo yao tarehe 08 Juni 2014 na kumaliza tarehe 04 Septemba 2014. Oro...

CBE DOM: RAISI WA COBESO AAPISHWA

Serikali ya Wanafunzi wa chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma kimempata Raisi mpya wa awamu ya 2014/2015 rais Franck Mshana baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa uraisi uliofanyika tarehe 16 Apri...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item