jaridahuru

Mitandao

ELIMU: UMOJA WA WAKE WA VIONGOZI WATOA MSAADA WA VITABU VYENYE THAMANI YA MILIONI 35


 Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda  akipokea  vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35  kutoka kwa Meneja  Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam Picha na Chris Mfinanga. 




Picha ya pamoja ya wake wa Viongozi na wafanyakazi wa THT.

Related

MAKALA : Wiki ya Elimu? Je Wadau wa Elimu wanasikilizwa?

Hii ni Wiki ya Elimu Tanzania. Tanzania inaadhimisha Wiki ya Elimu kwa mara ya kwanza. Lengo la Wiki ya Elimu tunaambiwa kwamba ni kusherehekea mafanikio na kujituma, pia kuwapatia motisha wat...

CBE DOM: RAISI WA COBESO AAPISHWA

Serikali ya Wanafunzi wa chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma kimempata Raisi mpya wa awamu ya 2014/2015 rais Franck Mshana baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa uraisi uliofanyika tarehe 16 Apri...

BARAZA KIVULI : MBOWE atangaza baraza kivuli la mawaziri

Kiongozi wa Upinza Freeman Mbowe jana amelitangaza baraza kivuli la mawaziri mjini Dodoma. Baraza hilo lililokuwa likisubiriwa kwa hamu hili hapa. PEKUA (DOWNLOAD) PDF

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item