jaridahuru

Mitandao

WAJASIRIAMALI WASHAURIWA KUTUMIA MITANDAO KUJITANGAZA



WAJASIRIAMALI wameshauriwa kutumia mitandao kujitangaza ili kuongeza masoko na kuuza bidhaa zao kwa wingi ndani na nje ya nchi.

Wito huo umetolewa na taasisi ya wajasiriamami ya Women for Wowen wakati wakati wa kongamano la wanawake wajasiriamali lililofanyika jijini Tanga.

Mratibu wa Women for Mowen kutoka makao makuu, Josephine Moshi anasema lengo la kuwakutanisha wajasiriamali nikutaka kuwakuza bikiashara .
Zaidi ya wajasiriamali Mia moja wa jijini Tanga walishiriki katika kongamano hilo la kibiashara.

Related

Jamii 2822982213528108512

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item