#UCHAGUZI_2015 : ADC NAYO YAWATAMBULISHA WAGOMBEA URAIS 2015

https://jaridahuru.blogspot.com/2015/08/uchaguzi2015-adc-nayo-yatoka-kivingine.html
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Lutasola Yemba (katikati), akimtambulisha kwa wananchi mgombea mwenza Said Miraj (kushoto), baada ya kuchukua fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dar es Salaam leo. Kulia ni mke wake, Mwanaisha Lutasola.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Lutasola Yemba, akihutubia katika mkutano huo Buguruni Sheli jana.
Wanachama wa chama hicho na wananchi wakisikiliza sera za viongozi hao watakao peperusha bendera ya ADC kwenye uchaguzi mkuu.