jaridahuru

Mitandao

KITAIFA: POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI HUKO SINGIDA, AANDIKA UJUMBE MZITO NA KUUACHA. UNAHUSU VURUGU ZA DAR??


 Mnamo tarehe 02/02/2015 majira ya saa 10.35hrs askari no.G.4228PC. ALOYCE ambaye alikuwa dereva wa OCD-MANYONI alifika kwa armoury keeper na kumuomba amkabidhi silaha kwani anasafari na OCD, alikabidhiwa silaha aina ya SAR NO. 10065077 ikiwa na risasi kumi. 

Aliondoka na silaha hiyo na kuingia ndani kwake ambapo ni karibu sana na Armoury na kuingia ndani ambapo aliingiza mtutu wa silaha hiyo mdomoni na kujipiga risasi huku akiwa amelala kitandani na kufariki hapo hapo.
Marehemu ameacha ujumbe kuwa ameamua kujiua mwenyewe kwa ridhaa yake na asilaimiwe mtu yeyote kuhusiana na kifo chake.


Mwili wa marehemu umehifadhiwa mortuary manyoni gvt hospital kwa ajili ya uchunguzi.  Pia katika ujumbe wake amedai mwili wake upelekwe kwao na S/SGT.MARWA NA SGT.MTAKI wa Polisi Singida.

Swali ni kuwa je? inahusiana na vurugu zilizotokea dar hivi karibuni? mimi na wewe hatujui, tusubirie taarifa zaidi

Related

Kitaifa 5920562036310991201

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item