AJIRA: JE UNAKIPAJI CHA UTANGAZAJI? OK..AIRTEL INATAFUTA MTU MWENYE KIPAJI CHA UTANGAZAJI SOMA HAPA UJUE

https://jaridahuru.blogspot.com/2015/02/ajira-je-unakipaji-cha-utangazaji.html
Je, una kipaji cha kuwa TV Presenter? Tuma video yako katika ukurasa wa Airtel Facebook (www.facebook.com/AirtelTanzania) ukitaja jina lako, unapoishi, umri wako na kitu gani kinachokufanya uwe TV Presenter.
Mwisho wa kushiriki shindano hili ni Alhamisi tarehe 5/2/015
*Vigezo na masharti kuzingatiwa
*Vigezo na masharti kuzingatiwa