jaridahuru

Mitandao

GOSSIP: WEMA AMREPLACE RASMI D.(!).MO PLATNUMZ, NA ALLY DAXX..ADAI KWA DIAMOND ALIPOTEA NJIA TU!




Kwa kile kilichotegemewa kutoka kwa Miss Tanzania wa zamani kumreplace mpenzi wake wa zamani kwa muda mfupi kama kawaida yake, Imeripotiwa Rasmi kuwa sasa ni zamu ya mwanamitindo mtanzania anayeishi Kwa Madiba aka Bondeni Sauzi anayejulikana kama Ally Daxx.

Alipoulizwa kuhusu swala hili, alikana na kudai kuwa hawajaonana kwa muda mrefu.

Swali ni kuwa Je? ni kawaida yake kama alivyodai Diamond kuwa anapenda magazeti au ni kweli?

Hebu Tusubiri labda tutajua ukweli na je ni kweli kuwa hapendi kufanya mapenzi na maboyfriend wake.

Swali la mwisho aliloulizwa lilikuwa kama huwa anapima akipata new Kifua..

"Sikumbuki hata mara ya mwisho kupima!.." Seriously? Ila ndo alivyojibu..

Related

BURUDANI: DIAMOND KATIKA LEVEL NYINGINE TENA, ATAJWA KUWANIA TUZO ZA TFAAS, KUCHUANA NA YAYA TOURE

Diamond Platinumz anaendelea kuongeza CV katika muziki wake kwenye level za kimataifa baada ya kutajwa Jana kuwa mmoja kati ya vijana wa Afrika wanaowania tuzo kubwa ya The Future Africa Awar...

BURUDANI: KOLABO YA DIAMOND, KHADIJA KOPA NA ALLY KIBA MBIONI KUTOKA, YALENGA KUCHANGANYA LADHA YA MUZIKI

MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond P...

BURUDANI: DIAMOND AMVISHA WEMA PETE YA UCHUMBA, MAMBO YAFANYIKA KWA SIRI, WEMA AMSHUKURU MTABIRI WAKE

Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) akionyesha pete aliyovishwa na Diamond.   Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikida...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item