AFYA: DAMU YA WAHANGA WA UGONJWA WA EBOLA YAGEUKA KUWA ALMASI NCHINI LIBERIA
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/09/afya-damu-ya-wahanga-wa-ugonjwa-wa.html
Huku shirika la Afya Duniani likipigania kuweza kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa Ebola huko Afrika ya Kaskazini,imetokea biashara ya haramu ya ununuzi wa damu kwenye nchi ambazo zimekumbwa na janga hilo huko Afrika Kaskazini.Shirika la Afya Duniani imetoa tahadhari kwa biashara kwa inaweza ikaongeza zaidi maambukizo kwa maelfu zaidi Duniani.
Watoto huko Monrovia, Liberia wakiangali mtu anayesadikiwa kuwa ni mgonjwa wa Ebola