VYUONI: WAHADHIRI 'LECTURERS' WA UDOM WAMEINGIA KATIKA MGOMO LEO TAR 16/06/2014

Wahadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wameingia katika mgomo leo asubuhi wakishinikiza kuongezwa mshahara.
Tukio hilo limetokea huku ikiwa leo ndio siku ambayo wanafunzi wa chuo hicho walitakiwa kuanza kufanya mitihani ya kumaliza muhula maarufu kama UE.
Taarifa Kamili kuhusu tukio hilo zitakujua punde tu jarida huru litakapozipata.