VYUONI: MWANACHUO WA CHUO KIKUU RUAHA ACHOMWA MOTO KWA KUDHANIWA NI MWIZI,

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/vyuoni-mwanachuo-wa-chuo-kikuu-ruaha.html

Imagine
guys, kuna this guy mtanashati anasoma chuo kikuu cha Ruaha a.k.a RUCO
huku Iringa. Alikuwa anasomea sheria mwaka wa nne.Taarifa za awali
zinasema aliitiwa mwizi kumbe sio, akachomwa moto kama ujuavyo sheria
mkononi kwa nchi hii..
Ameungua sana ila kwa bahati nzuri hajafariki, hivi ndivyo alivyo....
Ameungua sana ila kwa bahati nzuri hajafariki, hivi ndivyo alivyo....