jaridahuru

Mitandao

TANZIA: MTOTO WA KWENYE BOKSI (Nasra Rashid) AFARIKI DUNIA AKIPATA MATIBABU MUHIMBILI

Nasrah Rashid enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi.

MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. 

Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. 

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.

Related

Kitaifa 313553741183848484

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item