jaridahuru

Mitandao

KITAIFA: RAISI KIKWETE AZINDUA CHAPISHO LA TATU LA SENSA MJINI DAR ES SALAAM. (PICHA & HOTUBA)

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti katika kupata taarifa za Sensa na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwl.Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.Viongozi wengine walioshiriki katika hafla ya uzinduzi huo kutoka kushoto ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Bibi Mariam Khan Mwakilishi wa UNFPA,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Waziri wa Fedha Bi.Saada Mkuya na kulia ni Kamishna wa Sensa na Makazi Hajjat Amina Mrisho Said
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi  wa Chapisho la tatu la taarifa za msingi za kidemografia,kijamii na kiuchumi pamoja na tovuti itakayowezesha kupatikana kwa taarifa mbalimbali za sensa ya watu na Makazi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es salaam 

Related

Habari Kuu 5459597039515989185

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item