JAMII: UKATILI ULIOJE HUU!? MAMA AMTUPA KICHANGA JALALANI, POLISI WALA NAE SAHANI MOJA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/jamii-ukatili-ulioje-huu-mama-amtupa.html
Mwili wa kichanga.
Difenda la polisi likiwa eneo la tukio kuchukua mtuhumiwa na mwili wa kichanga.
MWILI wa
kichanga umeokotwa eneo la Njiro jijini Arusha juzi baada ya kudaiwa
kutupwa na mama mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja.
Baada ya kichanga hicho kuokotwa, wananchi walitoa taarifa polisi waliofika na kufanikiwa kumkamata mama mwenye kichanga hicho.