JAMII: MWILI WA MAMA ZITTO WASAFIRISHWA KWA NDEGE, TAZAMA PICHA AKIWEPO LIPUMBA, ZITTO NA WENGINE

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/jamii-mwili-wa-mama-zitto-wasafirishwa.html
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza
lililobeba Mwili wa Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum na
kuuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwa mazishi….
Ndege ikiandaliwa ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe
Zitto kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili
wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya
kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi
Rais wa TASWA, Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport
alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto
Kabwe
Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko