jaridahuru

Mitandao

AJALI: AJALI MBAYA YA ROLI LA VINYWAJI YATOKEA HUKO MKOANI RUVUMA, WATU WAJINYEA BIA OVYO

 Ajali hii imetokea  lililopita maeneo ya Msamala katika manispaa ya Songea...kwa mujibu wa taarifa hakuna mtu aliyefariki zaidi ya kupata majeraha madogo madogo!Chanzo cha ajali hakijajulikana haswa ni nini.
 Barabara ikawa ndogo kwa muda...
  Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo..

 wale wa gambe sijui ilikuaje!
 Bado tukiwa huko huko Songea: hili ni basi nalo lilifeli breki..hakuna madhara makubwa yalotokea..

Related

Habari Kuu 6107199919844516880

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item