VYUONI: WANAFUNZI WA DIPLOMASIA WAHUDHURIA KIKAO CHA BUNGE LEO TAR 28 MAY.

Wanafunzi hao waliotoka katika vyuo vya Da es salaam na Mzumbe pia walipata nafasi ya kupiga picha na baadhi ya mawaziri akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Benard Membe ambae pia anapewa nafasi ya kugombea urais mwaka 2015.