jaridahuru

Mitandao

KIMATAIFA: MUGABE HOI TENA, ARUDI SINGAPORE


Rais wa Zimbabwe amarejea tena nchini singapore ili kuangalia afya yake kwa mara nyingine. Hii ni miezi mitatu baada ya kufanyiwa upasuaji wa jicho huko huko singapore, hii imedhibitishwa na msemaji wake.

George Charamba alisema Mugabe atapitia uchunguzi wa jicho ikiwa ni kulingana na ratiba yake. Rais huyo mwenye umri wa miaka 90 alifanyiwa upasuaji wa mtoto wa jicho katika jicho lake la kushoto mwezi wa pili.

Rais huyo amekuwa na safari za mara kwa mara kuelekea nchini humo ikiwa na baada ya kupigwa marufuku kuenda katika nchi za EU mwaka 2002.

Mugabe,  ambaye amekuwa madarakani toka mwaka 1980,alichaguliwa tena kuwa Rais wa nchi hiyo ya Uganda mwezi july mwaka jana katika uchaguzi uliotuhumiwa kuwa na udanganyifu mkubwa na mpinzani wake, waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Morrgan Tsvangira.

Safari hizo za mara kwa mara kuenda nchini humo kwa ajili ya matibabu kumewaacha watu wengi na wasi wasi mkubwa juu ya afya ya kiongozi huyo mkongwe.

Moja ya safari iliyozua mijadala mingi ni ile ya mwaka 2012 julai ambayo iliripotiwa kuwa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la Saratani.

Related

KIMATAIFA: MIGOMO AFRIKA KUSINI YASABABISHA KUDUMAA KWA UCHUMI

Mazungumzo yaliyonuiwa kumaliza mgomo katika sekta ya madini Afrika kusini yamesambaratika. Waziri wa maswala ya madini nchi humo ,Ngoako Ramatlhodi, amesema juhudi zote za kupatanisha wenye mak...

KIMATAIFA: KIONGOZI WA KUNDI LA MUNGIKI KENYA 'MAINA NJENGA' AMESHAMBULIWA KWA RISASI

NYAHURURU, Kenya. Aliyekuwa Kiongozi wa kundi la Mungiki lilowauwa na kuwachinja wananchi wa Kenya katika vurugu za baada ya uchaguzi Kenya, Maina Njenga, ameshambuliwa kwa risasi huko Kenya. Njen...

KIMATAIFA: HERMAIN KATANGA WA KONGO AHUKUMIWA JELA MIAKA 12 NA MAHAKAMA YA ICC

Mahakama ya kimataifa ya jinai ICC imemhukumu kiongozi wa zamanai wa wanamgambo waasi katika Jamuhuri ya kidemokrasi ya Kongo, Germain Katanga, kifungo cha miaka kumi na miwili jela baada ya kum...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item