GOSSIP: WEMA SASA AMTEGA MILLARD AYO, AACHIA MAZIWA WAZI NA KUMTOMASA, ANGALIA HAPA
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/05/gossip-wema-sasa-amtega-millard-ayo.html
Picha ya Wema na Millard Ayo wa Clouds akiwa amefungua kifungo chake cha blouse na kuonesha Manyonyo imemake headlines baada ya watu kuamini kuwa wawili hao walikua na yao.
Wema anaonekana kumshikilia Millard na kumlaza tumboni kwake huku akiwa anampapasa millard na kifungo kiko nywiiiii!!'
Sasa tusichoelewa ni kuwa je kati yao kuna lolote? Tuendelee kusubiri.