jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: DIAMOND PLUTNUMZ BAADA YA MTV BASE SASA ATINGA NDANI YA BET AWARDS

Kama ndio ile nyota ya QChillah basi ni noma! Baada ya stori nyingi kuhusu kutangazwa katika  kushiriki kwenye tuzo za MTV Base (Mama Awards) kikiwa ni kituo kingine kikubwa cha burudani Afrika.

Sasa Diamond Platnumz ameingia kwenye stori nyingine kubwa ya dunia baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye tuzo za Television kubwa ya Marekani ya BET ambapo yupo kwenye kipengele cha wanaogombea BEST INTERNATIONAL ACT AFRICA.

Anaigombea hiyo tuzo na Davido wa Nigeria, Mafikizolo wa South Africa, Tiwa Savage wa Nigeria, Toofan na Sarkodie wa Ghana. the OFFICIAL nominees 2014!….
BET kupitia page yao ya twitter waliandika kuthibitisha kuchaguliwa kwa Diamond na kumpongeza akiwa pia ni msanii pekee wa Afrika Mashariki kwenye tuzo hizi za mwaka huu.

Baadhi ya wasanii wamemsaport kwa hilo, baadhi ya mastar wa Tanzania waliokubali kutoa ya moyoni baada ya taarifa hiyo miongoni mwao ni pamoja na Mkubwa Fela,Wema Sepetu,Ay,Belle 9,Vanesa Mdee na wengine kibao.






Related

Habari Mpya 7140340912383654731

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item