jaridahuru

Mitandao

BREAKING NEWS: WAFANYA BIASHARA WALEMAVUWAANDAMANA, WAFUNGA BARABARA DAR


Dar es salaam: Taarifa za hivi punde zinasema kuwa wafanya biashara ndogo ndogo wa Ilala Dar es salaam, wamefanya maadamano na kufunga makutano ya barabara ya Uhuru na Kawawa wakishinikiza wapewe eneo la Karume kwa ajili ya kufanyia biashara zao.

Kutokana na hili magari yamezuiliwa kupita hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa abiria wanaoitumia njia hiyo.

Taarifa zaidi tutazidi kukujuza punde tutakapo zipata rasmi.

Related

KITAIFA: WAFUASI WA SHEHEPONDA WAFUNGA BARABARA MJINI MOROGORO NA KUSWALI CHINI YA ULINZI MKALI

SHEHE Ponda balaa! hali ni tete kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro ambayo inasikiliza kesi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda Issa Ponda anayekabiliwa na shit...

KITAIFA: WANACHI WAHOJI MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NDIO HAYA? MKURABITA NA BRN NDIO KAZI ZAO?

.Poverty is not socialism. To be rich is glorious. Deng Xiaoping .Poverty is not socialism. To be rich is glorious. Deng Xiaoping .Poverty is not socialism. To be rich is glorious. Deng...

KITAIFA: MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA YALIA NA VIONGOZI WA DINI NA MITANDAO YA KIJAMII

Dar es Salaam.Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka viongozi wa dini kutumia nafasi kukemea juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii kwa waumini wao na kuelimisha madhara yanayow...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item