jaridahuru

Mitandao

UEFA : Atletico Madrid vs Real Madrid


Katika mchezo wa kusisimua usiku wa leo nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Atletico Madrid wameibuka vinara katika mechi hiyo baada ya kuwachabanga vijana hao wa darajani kwa idadi ya mabao 3:1.

Hata hivyo chelsea ndio walikuwa wakwanza kuliona lango la wapinzani wao baada ya mshambuliaji Fernando Torres kumalizia kazi nzuri ya kijana Willian lakini bao hilo lilidumu kwa dakika nane tu kabla ya Atletico Madrid kujibu mashambulizi kupitia kwa mchezaji wake Adrian na kuifanya mechi kuwa 1:1 hadi timu hizo zinaenda mapunziko.

Kipindi cha pili Atletico walionekana kushambulia na dakika 15 baada ya kipindi cha pili walijipatia bao la pili kwa njia ya mkwaju wa penati ambao uliwekwa kimyani na Diego Costa katika dk ya 60' ya mchezo na kuongoza kwa 2:1. Dakika ya 72' Ardan aliifungia Atletico bao la tatu na kuwanyima matumaini ya kuiona fainali vijana wa stanford bridge. Hivyo hadi mpira unaisha Atletico 3 : 1 Chelsea.

Kutokana na matokeo hayo, Atletico itakutana uso kwa uso na Real madrid katika mchezo wa fainali utakao chezwa katika uwanja wa Lisbon tarehe 24/05/2014.

Related

SOKA: YANGA MTASUBIRI SANA KUVUNJA REKODI HIZI SA WEKUNDU WA MSIMBAZI - SIMBA

SIMBA na Yanga ni watani wa jadi. Jambo linalofanyika Simba kwa namna moja ama nyingine litakuwa na tambo kwa Yanga. Simba ikishinda mchezo lazima itatoa tambo zake kwa Yanga na vivyo hivyo kwa...

SOKA-BONGO: JKT RUVU YAIBANA MBAVU MBEYA CITY, WATOA SULUHU YA BILA KUFUNGANA

  Wabishi wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeta City leo imejikuta ikilegea kwa maafande wa JKT Ruvu baada ya kukubali kugawana ponti moja moja kwa kutoa sare ya 0-0 katika mchezo wa ufunguzi wa ligi...

SOKA-BONGO: WAKATA MIWA KAGERA SUGAR WAPOKEA KIPIGO CHA 1-0 KUTOKA KWA MGAMBO.

Klabu ya Mgambo JKT kutoka mkoani Tanga leo imewapigisha kwata wakata miwa wa Bukoba Kagera Sugar kwa kuichapa bao 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa ligi iliyochezwa katika uwanja wa Mkwakwani jiji...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item