jaridahuru

Mitandao

KIBANDAMAITI: Hatimaye UKAWA waungurumisha Zanzibar.

Wananchi katika mkutano wa UKAWA kibandamaiti Zanzibar


Pamoja na kuwekewa vikwazo mara mbili na jeshi la polisi kuhusu kufanya mikutano ya hadhara Zanzibar, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi wafanya mkutano kibandamaiti zanzibar.

Umoja huo unaowashirikisha viongozi kutoka katika vyama vitano vya siasa vikiwemo CHADEMA na CUF wamefanya mkutano huo amabao umeonekana kuteka hisia za wananchi wengi wa Zanzibar. Viongozi hao, kila mmoja kwa nafasi yake alipata muda wa kuhutubia huku kusudi lao kuu likiwa ni kudai katiba ya wananchi.

Related

SIASA: MBOWE MATATANI, CHADEMA YAMTUHUMU KWA UFISADI, YADAI AKIPEWA NCHI ANAWEZA KUUZA HADI MIGODI NA MBUGA

 Mjumbe wa Baraza Kuu Chadema ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Temeke Joseph Yona (kushoto) akiongoza wenzake kuingia Ofisi ya Msajili wa Vyama leo kuwashitaki viongozi...

SIASA: MAKAMU MWENYEKITI CCM, PHILIP MANGULLA AIFAGILIA UKAWA. ASEMA UKAWA ITAWAPA NGUVU ZAIDI UPINZANI

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula amevipongeza vyama vya upinzani kwa kuungana na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) akisema hatua hiyo itawafanya kuwa na nguvu za...

KITAIFA: KATIBU CHADEMA NA VIONGOZI WENGINE WA UPINZANI WASHIRIKI MBIO ZA MWENGE WA UHURU

VIONGOZI wa vyama vya upinzani mjini Morogoro, wameshiriki katika Mbio za Mwenge wa Uhuru. Viongozi hao walioshiriki katika mbio hizo ni Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, Ngonyani Boniface, ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item