MASANJA ; ‘Mungu wangu ni mzuri, asante Mungu kwa kunipendelea… usafiri huu kwangu ni muujiza’

Msanii huyo ambaye kwa sasa ana jina jipya la "Mchungaji" ameonesha kufurahishwa sana kwa kupata gari hilo. Hata hivyo ni jukumu la kila mtu kumshukuru Mungu kwa kile kidogo anachombariki kama alivyo fanya Masanja Mkandamizaji.