jaridahuru

Mitandao

SISI SIO NYANI: Wachezaji wampa support Alves kwa kula ndizi.







HISPANIA: Siku chache baada ya kitendo cha kibaguzi dhidi ya Dany Alves toka kwa shabiki wa Villareal, Wachezaji wampa support Alves kwa kula ndizi.

Kitendo kilichooneshwa na shabiki mmoja wa villa real cha kumtupia ndizi Dany Alves uwanjani kilitafsiriwa kuwa kitendo cha ubaguzi mkubwa, lakini Alves alionesha moyo wa ujasiri na kuikota ndizi hiyo, akaimenya na kuila. Wachezaji wenzake wengi walikerwa na kitendo kile na kumumpa support Alves kwa kupiga picha za matukio mbali mbali wakila ndizi wengine wakiandika katika status zao kuwa "Nani anataka kuwa nyani kama mimi?", miongoni mwa wachezaji hao ni Samwel Eto'o, Backary Sagna, Neymar, Mario Balotteli na wengine wengi.

Hata hivyo shabiki huyo amefungiwa maisha na club ya villa real.

Related

Featured 2014624570489209270

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item