jaridahuru

Mitandao

IFAHAMU MITAA HATARI ZAIDI KWA UPORAJI MJINI DAR, COCOA BEACH YATAJWA

Image result for kibaka



Kufuatia tukio lililowasikitisha na kuwashangaza wengi katika miji ya dar na sehemu zingine za Tanzania la kuporwa na kutobolewa macho kwa kijana mmoja maeneo ya buguruni, gazeti la Nipashe la tarehe 9/10/16 limetoa orodha ya majina ya mitaa katika jiji la dar es salaam inayoongoza kwa matukio ya uporaji kwa kutumia bisibisi, pikipiki nk.

Mitaa hiyo ni pamoja na ;
Majumba Sita, Njia panda ya Segerea, Tazara, Msimbazi Center, Cocoa Beach, Salender Bridge, Majani ya Chai, Luggoda kwa Ilala,. 

Kinondoni ni pamoja na Tanganyika Peckers, Kinodoni Makaburini, Mwenge, Tandale, Mahakama ya Simu.

kwa Temeke ni Chang'ombe mataa, BP, Kurasini, Temeke Maguruwe, Mbagala Kiburugwa, Kizuiani na Zakhem.

Source Nipashe..

Related

TANZIA: MTOTO WA KWENYE BOKSI (Nasra Rashid) AFARIKI DUNIA AKIPATA MATIBABU MUHIMBILI

Nasrah Rashid enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi. MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na ku...

TANZIA: MAMA ZITTO AFARIKI DUNIA, FAHAMU CHANZO CHA KIFO CHAKE

  Taarifa za Kusikitisha zimekigubika chumba cha habari cha Jarida Huru, Taifa na Dunia kwa ujumla kwa kuondokewa na mwanaharakati wa wanawake ambae pia ni mama yake mzazi Zitto Kabwe.  ...

KITAIFA: AFYA YA 'MTOTO WA BOKSI' YAZIDI KUZOROTA, SASA ALAZWA MUHIMBILI

  MTOTO mwenye umri wa miaka minne aliyefungiwa ndani ya boksi kwa zaidi na miaka mitatu mkoani Morogoro, amehamishiwa katika Hos- pitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uchunguzi na ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item