jaridahuru

Mitandao

JAMII: AMA KWELI MIYO YA WATU INA SIRI NZITO, SOMA ALICHOSEMA MBASHA KUHUSU MTOTO ALIYEJIFUNGUA FLORA

Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.

Mbasha ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja mwenye umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua anazisikia kama watu wengine.
 

“Nina mtoto mmoja, nina mtoto mmoja anaitwa Lizy na  ana kama miaka 10 hivi. Wewe ndo unanieleza mimi kama amejifungua, kama amejifungua ni jambo jema na jambo la kumshukuru Mungu,” Mbasha alikiambia kipindi cha Sunrice cha Times FM.

Related

Jamii 5140357257403264637

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item