BREAKING NEWS: NDEGE Y JESHI AINA YA FIGHTER JET, YAANGUKA NA KULIPUKA MWANZA AIRPORT, NI HATARI SANA

Rubani wa ndege hii, ndg Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.
Taarifa zaidi zinafuata
=======