SIASA: UKWELI KUHUSU FRIENDS OF LOWASSA WAFICHUKA. WAJITENGENEZEA KWA SIRI MTANDAO WAO WA KIRAFIKI

https://jaridahuru.blogspot.com/2015/01/siasa-ukweli-kuhusu-friends-of-lowassa.html
Kwa kile kinachodaiwa kuwa umoja wa marafiki ulioenea zaidi Tanzania, Umoja wa Friends of Lowassa wamejikuta sasa siri zao zikiwa wazi baada ya vyanzo vyetu kugundua mtandao wao wa siri wa kuchat yaani Social Network maarufu kama (FL Social).
Mtandao huu umekuwa ukitumiwa na kundi hilo ili kuwaweka pamoja watu wanaojiita Friends of Lowassa na mengi yanayo jadiliwa humo Wewe na mimi..hatuyajui.
Basi moja kwa moja kajionee mwenyewe.
http://www.friendsoflowassa.or.tz/