BURUDANI: NEW VIDEO RELEASED JUX - SISIKII

https://jaridahuru.blogspot.com/2015/01/burudani-new-video-released-jux-sisikii.html
Hii ni video iliyokuwa inazungumziwa sana baada ya kusambaa kwa picha ambazo zilikuwa behind the scene zikimuonyesha Vanessa Mdee na Jux ambao kumekuwa na story kwamba wana uhusiano wa kimapenzi.
Imetoka na imeongozwa na director Zed Benson, karibu uitazame hapa mtu wangu.
Bonyeza play kutazama.