WC 2014: SUAREZ AMLA NYAMA MCHEZAJI WA ITALIA, AMNG'ATA HADHARANI, ICHEKI HAPA KATIKA VIDEO NA PICHA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/wc-2014-suarez-amla-nyama-mchezaji-wa.html
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruguay, Luiz Suarez, amerudia tena kitendo alichokifanya takribani miezi 14 iliyopita alichoomba msamaha na kuweka katika uangalizi maalumu na bodi ya nidhamu ya FIFA.
Alirudia tena kitendo hicho katika mechi baina ya Urugua na Italia baada ya kumuuma begani beki wa timu hiyo Giorgio Chiellini. Iwapo itabainika kuwa amelitenda hilo kosa na kukiuka maagizo ya kinidhamu, Suare anaweza kuzuiliwa kucheza mechi 24 au miaka miwili
ANGALIA VIDEO HIYO HAPA