jaridahuru

Mitandao

VYUONI: WANACHUO WA CHUO KIKUU CHA MZUMBE WAZURU BUNGENI DODOMA


 Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiongea na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe cha Morogoro Mbele ya Ukumbi wa Bunge. Wanachuo hao wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo.
 
Naibu Spika  wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiwa katika Picha ya pamoja na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Mbele nje ya Ukumbi wa Bunge  Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya kimafunzo.  
   
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akizungumza  na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe mbele ya Ukumbi wa Msekwa.Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo kulia ni Mbunge wa Lupa Mhe.Victor Mwambalaswa, ambaye aliwapa wanachuo hao shilingi million moja taslimu za kuwasaidia kufanikisha malengo yao. 


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe.Eng.Stellah  Manyanya akiwapa somo la jinsi ya kupambana na maisha na kufikia malengo wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe mbele ya Ukumbi wa Msekwa Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya kimafunzo. 

Related

VYUONI: USANII WA ELIMU TANZANIA WACHUKUA SURA MPYA, CHUO CHA ECKENFORD TANGA CHAWATAPELI WANACHUO 115

  TAASISI ya Sayansi ya Afya ya Chuo Kikuu cha Eckernforde Tanga, inatuhumiwa kuwatapeli wanachuo zaidi ya 115 iliyowadahili na kukaa chuoni hapo miezi sita kisha kuwafukuza kwa madai kuwa ...

VYUONI: BAADA YA CHUO CHA TUMAINI KUGOMA, SASA NIT NAO WALETA FUJO, FFU WAMWAGWA CHUONI HAPO

 Gari la Polisi likiwa limefika eneo la Tukio kwa ajili ya usalama chuoni hapo  Mmoja wa Mawaziri wa Serikali ya Wanafunzi akizungumza jambo  Polisi wakiwa wakiwa wanaimari...

VYUONI: WANAFUNZI CHUO CHA TUMAINI IRINGA WAGOMA, WADAI KUPEWA PESA YA KUJIKIMU

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini cha Iringa vitivo vyote wamegoma kuingia madarasani kuushinikiza uongozi wa chuo hicho kutafuta njia mbadala ya kuwapatia fedha za kujikimu na chakula pindi...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item