JAMII: 'X-BOYFRIEND' AMUANIKA BINTI MTANDAONI BAADA YA KUACHANA, ATUMIA PICHA WALIZOWAHI KUPIGA UCHI. BINTI ASIMULIA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/jamii-x-boyfriend-amuanika-binti.html

"Ni
kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank
ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali
kupiga," alisema huku akimwaga machozi.
"Kipindi nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.
"Niliongea na wifi Suzy (Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa sababu alikuwa na picha zangu za utupu.

"Kwa
kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi
kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha
kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali