jaridahuru

Mitandao

JAMII: BIBI MCHAWI AANGUKA NA UNGO HUKO JIJINI MWANZA, ADAI WENZAKE WALIMSHUSHA BAADA YA KUTOKEA UGOMVI


Kila mtu alikuwa na lake kuhusu bibi huyu anayedaiwa kukutwa akiwa uchi huku wengine wakisema ni mgonjwa wa akili na wengine wakidai ni mchawi kaanguka na ungo.


Alipokuwa akihojiwa amedai ametoka Bariadi lakini wenzie aliokuwa nao walimshusha baada ya kutokea ugomvi.

Amedai walikuwa wanne kwenye safari yao hata hivyo wapo wengine waliosema kuwa ni mgonjwa akili na tangu jana amekuwa akionekana maeneo ya hospitali ya sekoutoure akiranda randa.

Mbaka naondoka eneo hilo Polisi walikuwa wamefika ili kutoa msaada kutokana na kundi la watu waliokuwa wamemzunguka na baadhi yao wakitaka apigwe kwa madai ni mchawi.
5 
 Akihojiwa na watu

Related

Jamii 5947070535482988914

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item