EVENT: NYAMACHOMA FESTIVAL SAT 07, JUNE 2014 - KIJITONYAMA GROUNDS
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/event-nyamachoma-festival-saturday-07.html
Lile Shindano la kuwashindanisha wachoma nyama maarufu hapa jijini Dar es salaam sasa limewadia. Shindano litafanyika Kijitonyama Postal Grounds kuanzi saa 6 mchana (12pm)
Watu 100 wakwanza watajipatia Heineken Baridiii ya bure Getini
Fika ujionee na kujionjea nyama zilizochomwa na vinara wa kuchoma nyama Dar es salaam.
TUKIO: NYAMACHOMA FESTIVAL
TAREHE: 07 / 06 / 2014
MAHALI: KIJITONYAMA POSTAL GROUNDS
Imechapishwa na
Sebastian