BREAKING NEWS: SOKO LA KARUME ILALA DAR ES SALAAM LINAUNGUA MOTO!!
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/breaking-news-soko-la-karume-ilala-dar.html
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa soko la Karume linaungua moto.
Moto bado ni mkali, unazidii kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipothibitiwa Mapema utaleta athari kubwa sana.
Hali bado ni tete, Fire walifika katika eneo la tukio na sasa wanaondoka bada ya kukubali kushindwa, hakuna wanachoweza kuokoa.
Nguzo za umeme zinaungua pia.
Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana, tutazidi kukujuza kwa kadri habari zitakavyotufikia

