TANZIA: MSANII WA BONGO MOVIE 'RECHO HAULE' AFARIKI DUNIA
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/05/tanzia-msanii-wa-bongo-movie-recho.html
Tukiwa
na wiki moja toka tumzike muongozaji na muigizaji Adam Kuambiana leo
asubuhi imetoka taarifa nyingine ya kifo cha miongoni mwa waigizaji wa
kike toka Bongo Movie.
Aliefariki ni mwigizaji anaitwa Rachel Haule ambaye kacheza movie mbalimbali ikiwemo Vanesa in Dilema.
Aliefariki ni mwigizaji anaitwa Rachel Haule ambaye kacheza movie mbalimbali ikiwemo Vanesa in Dilema.
Chanzo
cha kifo chake chake bado hakijafahamika ingawa taarifa za mwanzo
zinasema alikua mjamzito na alikwenda Muhimbili kwa ajili ya kujifungua
baadae alifanikiwa kujifungua lakini kwa bahati mbaya mtoto alifariki
nae hali ilibadilika akapelekwa ICU lakini baadae akafariki.