SIASA: MMOJA WA WALIOMTEKA ROSE KAMLI (MB) KALENGA, ASHUSHIWA KIPIGO NA WANAUKAWA MORO
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/05/siasa-mmoja-wa-waliomteka-rose-kamli-mb.html
Njemba huyo ambaye hakufahamika jina lake mara moja, aliangushiwa
kipigo baada ya kuibuka na kuanza kumpiga picha Mwenyekiti wa Bavicha
Taifa, John Heche. Baada ya kipigo cha nguvu, njemba huyo alinusuriwa na
polisi waliomchukua kumtoa mikononi mwa wafuasi hao.
Mwenyekiti huyo wa Bavicha akithibitisha kumtambua kijana huyo
anayedaiwa kushiriki kumteka mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo
uliofanyika Jimbo la Kalenga, lringa.
