jaridahuru

Mitandao

KMA: Diamond atusua Kilimanjaro Music Awards kwa mara nyingine!


Diamond Plutnumz

Diamond Plutnumz akiwa na Wema Sepetu

Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) maarufu kama 'Diamond Plutnumz' ameshinda jumla ya tuzo saba katika kilele cha Kilimanjaro Music Awards 2014.

Msanii huyo aliembatana na msanii wa kike na mshindi wa tuzo ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambae pia ni mchumba wake, alikabidhiwa tuzo hizo na meneja wa bia ya kilimanjaro George Kavishe.

Wema katika moja ya post zake katika mtandao wa Instagram alinukuliwa anisema tuzo hizo ni nyingi mno na hata hajui pa kuziweka, katika tukio lingine pia alisema kuwa anaona fahari kubwa kuwa mke wa Daiamond mtarajiwa.

Tuzo alizo nyakuwa Diamond ni;

1. Wimbo bora wa mwaka - Number One

2. Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya

3. Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki

4.  Video Bora ya Mwaka - Number One

5. Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya

6. Wimbo bora wa Afro Pop - Number One

7. Wimbo Bora wa Kushirikiana Muziki Gani – Nay wa Mitego ft Diamond

Washindi wa tuzo hizo kwa ujumla wake walikua ni kama ifutavyo;

Wimbo bora wa mwaka
Number One – Diamond

Mwimbaji bora wa kike – kizazi kipya
Lady Jaydee

Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya
Diamond

Muimbaji bora wa kike taarab
Isha Ramadhan

Muimbaji Bora wa kiume – Taarab
Mzee Yusuf

Muimbaji bora wa kiume – Bendi
Jose Mara

Muimbaji Bora wa Kike – bendi
Luiza Mbutu

Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q

Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer

Rapa Bora wa Mwaka – Bendi
Furguson

Mtumbuizaji bora wa kike muziki
Isha Ramadhani

Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki
Diamond

Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop
Fid Q

Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond

Bendi ya Mwaka
Mashujaa Band

Kikundi cha Mwaka cha Taarab
Jahazi Modern Taarab

Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya
Weusi

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Kizazi kipya
Man Walter

Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Bendi
Amoroso

Mtunzi Bora wa Mwaka – Taarab
Mzee Yusuf

Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Diamond

Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi
Christian Bella

Wimbo bora wa Kiswahili – Bendi
Ushamba Mzigo – Mashujaa Band

Wimbo bora wa reggae
Niwe na Wewe – Dabo

Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone

Wimbo bora wa Afro Pop
Number One – Diamond

Wimbo bora wa Taarab
Wasiwasi Wako – Mzee Yusuf

Wimbo bora wa Hip Hop
Nje ya Box – Nick wa Pili f/ Joh Makini & G-Nako
Wimbo Bora wa R&B

Closer – Vanessa Mdee

Wimbo Bora wa Kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego ft Diamond

Wimbo bora wa ragga/dancehall
Nishai – Chibwa f/ Juru

Wimbo bora wa zouk /rhumba
Yahaya – Lady Jaydee

Hall of FAME Award
Hassan Rehani Bichuka
Masoud Masoud – TBC Taifa
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook








Related

Habari Mpya 4382962156239500408

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item