jaridahuru

Mitandao

KITAIFA: KUMBUKUMBU YA AJALI YA MV-BUKOBA, SERIKALI IMEJIFUNZA NINI NA IMECHUKUA HATUA GANI?


Tarehe 21/may/2014 Tanzania imeadhimisha miaka 18 tangu meli ya MV BUKOBA kuzama ndani ya ziwa Victoria na kusababisha taifa kupoteza raslimali watu ambapo zaidi ni ya watu ELFUMOJA wanatajwa kufa maji kwenye ajali hiyo iliyoiletea simanzi kubwa taifa la Tanzania.

 Wananchi wa kanda ya ziwa leo wanajumuika pamoja na marafiki waliopoteza ndugu na jamaa zao katika makaburi hayo maalum ya marehemu hao yaliyoko eneo la Igoma jijini Mwanza kwa ajili ya Ibada ya kumbukumbu. 

Mwenyezi mungu ndiye mpangaji wa yote, jina lake lihimidiwe.

Related

MWANAFUNZI ALIYESHAMBULIWA MBEYA ASWEKWA RUMANDE

Dar/Mbeya. Mwanafunzi aliyeshambuliwa na walimu watano wa Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya, Sebastian Chinguku, aliwekwa ofisini kwa takribani saa tano baada ya kupata kipigo hicho kilichoibua ...

DIWANI KITETO ACHOMWA MKUKI NA WAFUGAJI

Kiteto. Diwani wa Kata ya Kaloleni eilayani Kiteto mkoani Manyara, Christopher Parmet amenusurika kufa baada ya kuchomwa mkuki na wafugaji wa eneo hilo wakati akifukuza mifugo iliyovamia shamba lake...

IFAHAMU MITAA HATARI ZAIDI KWA UPORAJI MJINI DAR, COCOA BEACH YATAJWA

Kufuatia tukio lililowasikitisha na kuwashangaza wengi katika miji ya dar na sehemu zingine za Tanzania la kuporwa na kutobolewa macho kwa kijana mmoja maeneo ya buguruni, gazeti la Nipashe la tar...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item