jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: Wimbo Mpya wa Diamond Uliovuja Huu Hapa na Alichokisema Diamond


Msanii wa Bongo Fleva Diamond Ameomba umma kutoutumia wimbo wake mpya uliovuja wa Kitorondo uliovuja kwani wimbo huo uko katika Voice Note na hauna Quality ya kuridhisha.

"Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazijatoka nimeikuta mtandaoni, sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa voice note yani haina quality kabisaa..Tafadhari kwa yeyote atakeipata asiitumie kwenye media au hadhari kwani haijatoka na hako qualified" Aliandika Diamond katika instagram.






Related

TECHNOLOJIA: JIFUNZE JINSI YA KU 'UNLOCK' MODEM YAKO. (KISWAHILI)

Inawezekana umejiuliza kwa mara nyingi ni jinsi gani unaweza kutumia line za mitandao yote katika modem yako bila kupata jibu. Usijali, leo Jarida Huru inakupa uwezo wa kujifungulia modem yako b...

EPL: MAN CITY BINGWA 2013/2014

Baada ya kufanya vibaya katika ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League) Kocha Manuel Pellegrini Amewainua tena Mashabiki wa timu yake kwa Kunyakua Kombe la Ubingwa wa English Premier League alimaa...

AJIRA: AJIRA MPYA Social Security Regulatory Authority. Mwisho 23/05/14

Shirika la Social Security Regulatory Authority (SSRA) limetangaza nafasi za kazi kwa wale wote wenye sifa. Tafadhali Download (Pekua) hii nyaraka ili usome vizuri. Pekua hapa ili usome zaidi : B...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item