TANZIA: ABDALLAH KIGODA AFARIKI DUNIA HUKO INDIA (R.I.P) - TAARIFA HII NI RASMI

Aliyekuwa waziri wa viwanda na biashara na mbunge wa handeni Tanga, amefariki dunia akipata matibabu huko india. Taarifa rasmi tutawaletea kadri tutakavyozipata
SOURCE: Star tv habari za kitaifa saa 8:00pm